Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Wema Mtu Wa Bata Zari Mtu Fulsa Kuna Utofaut Mkubwa Kwa Hili Mondi Awe Makin Sana Kwa Hili
Halua haina makomboYani kimetumikaaaa weee kimebakia kiporo kinapashwa weèee sasa mwishoe huchacha. Yani ni kiporo hicho kinaenda kuchacha
msubirini kwanza ale ndimu na pilipili baada ya majibu ya diamond then.she will.surely get back to youTunamshubiri Juliana Shonza atoe tamko....
Anaboa kwa kweli. Japo hata sie sio wakamilifu at least angeweka private kdg mahusiano yakeKama hakija chcha bas kimeshaota kutu
Cha jana cha jana tuuHalua haina makombo
Kwani da Mange amesemaje?Tusubiri tamko la Magufuli.
Ttz huyo hanaga cr kwenye lifeAnaboa kwa kweli. Japo hata sie sio wakamilifu at least angeweka private kdg mahusiano yake
Kasema Wema anatumika ili watu wasahau 26/4Kwani da Mange amesemaje?
Duuuhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Waziri wa Habari anasemaje kuhusu hayo maua
Kwamba Wema ana nguvu kuliko 26/4/1964.?Kasema Wema anatumika ili watu wasahau 26/4
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Waziri wa Habari anasemaje kuhusu hayo maua
Kuna mahali naenda.
Ntarudi kuja kukoment.
Ndo nisha rudi.Unarudi saa ngap
Yule Mama na pesa ni kama Samaki na maji, yakikauka hawezi kubaki.Wema Mtu Wa Bata Zari Mtu Fulsa Kuna Utofaut Mkubwa Kwa Hili Mondi Awe Makin Sana Kwa Hili
Ya yule mfanyakazi wa GGM na dent wa SAUT kayatolea tamko?Tunamshubiri Juliana Shonza atoe tamko....
Kama kurudiana warudiane tu lakini Diamond bado Sana hajajua kufunga zipu, hivyo huyo atakayeolewa asijisahau sana akajiona kafikakila mtu ana tafsiri yake ya ujumbe uliotolewa na maua ..........sisi binadamu ndo tunashabikia uhasama. Ingefurahisha Zaidi kama ushabiki wetu ungejielekeza katika kuwanasihi hawa wanandoa waliotengana ili wajue na kujutia makosa yao warudiane kwa faida ya watoto wao.
Ningekuwa Mimi Zari hata siumizi kichwa kwa Wema maana huyu ni cha wote, saaana ningemdharau huyu mtoto wa Tandale kurudi kwenye dimbwi la maji takaukipisha tu mwenzio anakaa