Wema Wema Wema ..... Mitego hiii

Andika kitabu chako chenye chapter elfu kumi na huenda usieleweke lakini kapicha kamoja tu kinaeleza yote.
Tunaweza fikiri ni yule mbunge tu anayempigania mdada lakini kiukweli huenda wako wengi na ndio maana dhamana imetoka!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....kichwani yalikuwa yanapita mawazo ambayo hayaandikiki hapa.
 
nimefanya kui zooom nimeitazama Mara nyingi sana
 
Duh!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....kichwani yalikuwa yanapita mawazo ambayo hayaandikiki hapa.
Vitu vingine vinachekesha hata kama hutaki, yaani wewe kwenye picha yote hicho ndo kilichokuvutia kwa huyu babu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…