Wema Sepetu na fashion zake

Wema Sepetu na fashion zake

WEMA kachuja ni kama mtu unasoma gazeti la siku muda wa jioni. Sijui anajisikiaje unapoonekana kama wewe ni kiburudisho cha Taifa.Dada huruma aka msamaria mwema
Mawazo yako tu hayo potofu....huna uthibitisho wowote na unayosema
 
WEMA kachuja ni kama mtu unasoma gazeti la siku muda wa jioni. Sijui anajisikiaje unapoonekana kama wewe ni kiburudisho cha Taifa.Dada huruma aka msamaria mwema
Wema akiwa na mwanaume lazima "Dunia" ijue kwa umaarufu wake. Na orodha ya wanaume hao ni ndefu. Je unamkumbuka nani? Mimi namkumbuka Jumbe ma Charlz Baba. Endeleza orodha hapa tunaongea kitu cha wazi sio majungu wala kijicho kama ni mahusiano wapo wanao fanya siri na heshima zao zipo juu
 
mr

mr blue.TD,DIAMOND,KIBA NA CCM
 
Back
Top Bottom