duh kibut alicho pigwa gwa na platnamu ndicho kime mm changanya tayar xaxa hana jpya tena hapo duh kwa waje alibino teh a.k.a ata jiju wa mwenyewe huko.
kwa sasa ni toy wa kichina, nilisoma kwenye gazt moja la udaku liliandika wema yupo hatarin kuoza kama ilivyo kuwa kwa michl jackson, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi na daktari.
ebana hawa wadada sijui nani kawaroga...kuna dem mtaani niluondoka kama mwaka juzi nimerudi kumwona bado kidogo nimpite yaani amekuwa ka albino af yaani mishipa ya damu inaonyesha hadi chembe hai yaani inatisha wadau
duh! Hii kitimoto ntaipata wapi jamani? Mi mate yantoka. Mwanamke anapozeeka anakuwa na rangi yake ya mwanzo. Tofauti na ile oestrogen modified skin colour.