Wema sepetu aharibika

haya bandugu
 

Attachments

  • 8002053omMH.jpg
    8002053omMH.jpg
    27 KB · Views: 164
nampa pole zake maana hajadumu ameshachakaaa....duu kweli ujana maji ya moto kwinsheeneeee
 
Bhaghosha,

Niwaulizeni swali,

Hawa mastar wetu wa bongo wa fani zote huwa wana Managers ambao huwaongalizia mapato yao na kuwashauri nini cha kufanya kama wenzetu wa huko ulaya na kweingineko???

Najua fika matatizo haya kuwa star na kuwa free ndio chanzo cha yote kwani wengi wao hawajui kuupima upepo wa maisha wala kujua kuzisoma alama za nyakati
 
nampa pole zake maana hajadumu ameshachakaaa....duu kweli ujana maji ya moto kwinsheeneeee

Skills
Hichi kitu bado kinalipa, ukikipeleka holiday mbali na dar ukamake sure kinakula vizuri, maji na matunda ya kutosha, mvinyo kidogo, swiming, mazoezi asubuhi na jioni, coconut massage kama ya ZNZ...aaahh kinarudia enzi zake within a few weeks.

Nipeni number
 
Nipo baba naona uminisusa siku hizi ushapata chombo kipya!!!???

Amefulia, hahaha hana chombo kipya anabeseni lenye maji na foma....lol

Mkuu FIDEL08 mcheck mtoto mbona unamfanyia hivyo, au unamind wenye mkorogo kama YO YO
 
Hiki chombo ni stress tuu za maisha na ushamba,inabidi kiondoke hapo Dar kije kitulie kama midwest states kiende shule na kipigwe na baridi kidogo huku kikioga maji ya moto daily,kikirudi mjini akili itakuwa imerudi na kitakuwa kinawaka
 
Hiki chombo ni stress tuu za maisha na ushamba,inabidi kiondoke hapo Dar kije kitulie kama midwest states kiende shule na kipigwe na baridi kidogo huku kikioga maji ya moto daily,kikirudi mjini akili itakuwa imerudi na kitakuwa kinawaka
Unajua watoto dizaini ile mara nyingi maisha ya ughaibuni especially US huwa hawayawezi kabisa. Walishazoea kukatiwa kidogodogo kule bongo basi wakija huku we, hakati mtu huku. Jamaa keshapiga box lake la nguvu UPS, hakitoki kitu hapo.
 
Kweli wenye visa watu,muacheni mtoto wa watu.
mbona bado analipa.Huo ni wivu wa kike.
 
Madhara ya mizigo toka China ndo hii sasa.
Ila mrembo katumika mno nahisi itakuwa imechangia vipodozi kugonga mwamba
...Teh! tehh! Tehhh!! Mkuu mbona kile kidonda kiko kwenye goti...au alikuwa kwenye mashambulizi?!
 
Back
Top Bottom