Ewaaa! nilikuwa nasubiri bei ishuke mwenye mawasiliano yake tafadhali?
My Friend ujiuji!
Sio maisha tu hata hicho kiyumbua chake kimechoka, extra used.
Mkuu hiyo avatar yako kiboko
Kwani mlitaka awe interested kwa watu gani hasa??HAYA SAS BIASHARA NI MATANGAZO...!
[h=4]Basic Information[/h]
Interested In Men Relationship Status Single Sex Female
Hivi ulikuwa wapi siku zote hizo kijana/mzee? Anyway, demu alikuwa miss Tz aliyeenda kuchemsha Miss world. Sifa za ziada, ni kugeuzwa chakula ya wasanii wa Bongo fleva akina Mr. Blue, TID na aliwahi kuwa na mahusiano na staa filamu za Bongo, Kanumba. Alipata kulazwa Jela segerea kwa kuvnja kioo cha mbele cha gari la Kanumba. Pia likuwa na skendo nyingine ya kujidunga unga. Alikuwa haambiliki kwa wazazi pamoja nakushauriwa atulize boli. FYI, demu ni mtoto wa mwanasiasa na balozi mstaafu wa TZ Marekani/UN, Ndg. Isaack Sepetu. Taarifa zaidi nenda kwenye wavuti ya magazeti ya Shigongo, www.globalpublishers.info type keyword Wema Sepetu kwenye search bar utapata full details alipotoka, alipokuwa, alipo sasa. Maana magazeti ya shigongo yalikuwa yanauza sana kupitia story za huyu dada.Wakuu nisaidieni WEMA SEPETU ni nani?
One day I'l take her over..! I ril love her no matter al th scandalz..!!
asante mkuuHivi ulikuwa wapi siku zote hizo kijana/mzee? Anyway, demu alikuwa miss Tz aliyeenda kuchemsha Miss world. Sifa za ziada, ni kugeuzwa chakula ya wasanii wa Bongo fleva akina Mr. Blue, TID na aliwahi kuwa na mahusiano na staa filamu za Bongo, Kanumba. Alipata kulazwa Jela segerea kwa kuvnja kioo cha mbele cha gari la Kanumba. Pia likuwa na skendo nyingine ya kujidunga unga. Alikuwa haambiliki kwa wazazi pamoja nakushauriwa atulize boli. FYI, demu ni mtoto wa mwanasiasa na balozi mstaafu wa TZ Marekani/UN, Ndg. Isaack Sepetu. Taarifa zaidi nenda kwenye wavuti ya magazeti ya Shigongo, www.globalpublishers.info type keyword Wema Sepetu kwenye search bar utapata full details alipotoka, alipokuwa, alipo sasa. Maana magazeti ya shigongo yalikuwa yanauza sana kupitia story za huyu dada.
Mathayo 7:6... Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe
lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije
wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka
na kuwararua. Mbwa na nguruwe ni watu wa mataifa
yasiyokuwa wana wa Israili. Ukristo haufai
kufundishwa watu wo wote isipokuwa
Mayahudi.