Wema na diamond platnumz!

Wema na diamond platnumz!

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
184
Eti ni kweli kuwa mpenzi wa diamond wema sepetu ni mkubwa kuliko diamond au ni uzushi tu wa baadhi ya watu?
Naomba mnisaidie wakuu!!!
 
we umeona hiyo ishu ya msingiii hadi ukaamua kuifungulia thread?
 
Tuwapeleke kwa daktari bigwa? au unataka tukusaidie nini,kama wamekubariana we unataka kuharibu mfumo!!!.
 
Vile vitu havina umri, ilimradi mmeridhiana.!!
 
Back
Top Bottom