Tenda wema nenda zako.. Wahenga walisema [emoji3]napenda kuwa hivi ila waswahili ukiwatendea wema wanakuona fala...utaskia "jamaa jinga sana nimeangusha pochi eti lilivyo fala limenirudishia"
Dada unatenda wema unatembea Mungu wetu aliye sirini anaona anajuaIla huku bongo ukijitia mwema sana wanakugeuza kitega uchumi.
Tanzania ukitaka watu wakuite ''yule aliyezubaa'', basi uwe mwema. Na ukiwa laghai lghai utasikia ''yule mjanja mjanja''napenda kuwa hivi ila waswahili ukiwatendea wema wanakuona fala...utaskia "jamaa jinga sana nimeangusha pochi eti lilivyo fala limenirudishia"
Wanageuza mchezo.Dada unatenda wema unatembea Mungu wetu aliye sirini anaona anajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwajiriwa wa umma anayemiliki mali nyingi zaidi ya kile cha halali anaitwa mjanja.Tanzania ukitaka watu wakuite ''yule aliyezubaa'', basi uwe mwema. Na ukiwa laghai lghai utasikia ''yule mjanja mjanja''
Tanzania imekuwa na watu wa hovyo kuliko choo cha stand[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Mwajiriwa wa umma anayemiliki mali nyingi zaidi ya kile cha halali anaitwa mjanja.
Mwajiriwa wa umma anayemiliki kile cha halali tuu na anayeonekana kutokuwa na mali anaitwa fala.
Mwizi/fisadi/tapeli ndiye anaheshimika.
Muaminifu/Mcha Mungu/raia mwema /muadilifu anatukanwa na kudharaulika.
Tanzania imekuwa na watu wa hovyo kuliko choo cha stand.