kimugina
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,142
- 577
so inamaana wema alikataa kubadili dini
Kwa maelezo yake kasema Dini ni tofauti yeye na huyo Mume wake, Hajazungumzia kukataa kubadili Dini au Kukubali.
so inamaana wema alikataa kubadili dini
Kwa maelezo yake kasema Dini ni tofauti yeye na huyo Mume wake, Hajazungumzia kukataa kubadili Dini au Kukubali.
na mimi nilikuwa najaribu kuunganisha dots mkuu
Sina imani na huyu Binti ase Sijui kwa nn tu,
whose that mume Jamii forums intelejensia mmeshindwa kuudaka mkanda huuuuu???????
mi mwenyewe namuonea huruma tu huyo mwanaume aliyeamua kujilipua kwa wema
Ukiwa na mtoto wako wa aina ya Wema, unawezq ukafa siku si zako!
wapi mond?
Sasa wewe unaona mama mzima? wema pasua kichwa
lukelo sakafu subiri waje wakuvishe sketi...!jamani habari ndio hiyo WEMA kaolewa tayari na anaishi na mume wake kwa sasa lakini MONDS bado anaangaika na wanawake kila siku mara sijui ZARI ambae ana watoto kibao na tunajua hawawezi kufunga ndoa zaidi ya porojo kibao. sasa yeye ndie alimuacha wema lakini mwenzake tayari kaolewa(cha nini wakati wenzako wanawaza watakipata lini) lakini yeye yuko mara kule mara sijui zari white party swaga kibao. sasa hapa kwa upande wako nani mjanja hapa?
Eti anaogopa juju, angeanza kupigwa K-Lyn kwanza sio yeye.Yeye aseme tu ukweli kaolewa na kibabu chake basi. geniveros Diva Beyonce
Naona kama usanii vile,,, wanavyopenda ndoa, angeanzaje kufunga ndoa ya kimyakimya....