Wema acha roho mbaya

Wema kawa mchepuko.....ndio habari insta hukoooooo
 
Atasamehe muda ukifika msamaha haulazimishwi kamwe ingawa kujiapiza hivyo si busara sana pia
 

Vipi zile million 13alizozitoa wakati ule umezisahau?ungekuwa wewe ungeweza?mwacheni jamani Wema apumzike,mwacheni afanye anavyoweza.
 
Wema bana yaani habari kama hizi ndio zinamuweka mjini

Jina kuuuuubwa kakalia kufanya upuuzi tu badala ya ku make mahela ya maana
Na hizi team zake zinamuharibu sana wema hajijui
Wema anathamani kubwa mmno laki amekalia kuendeshwa na mateam ushenzi tu
 
Ambaye uwa anachukuliwa mpenzi wake hata kama ni mchepuko na akasamehe! Ajitokeze! Anatska msamaha ili iweje? Aje kumnyang'anya bwana mwingine? Sh#n÷i type!!!! Mphssssssyyyyhhh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…