Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,131
- 29,789
Tar 17 March iwe siku ya Mapumziko. Kukumbuka siku tulipopata uhuru tena...Nikupongeze kwa dhati mama Samia kwa kuongoza vema kwa huu mwaka mmoja.
Haikuwa rahisi, lakini kilichokuwa kinatusononesha wengi ni ile state of fear na uncertainities.
Tulikuwa tunaishi kila siku ikijitegemea, hujui kesho litaibuka lipi.
Vyombo vya serikali vilipewa mamlaka ya kufanya lolote kwa mtu yeyote.
TAKUKURU, TISS, TRA, POLISI , MAHAKAMA, walikuwa juu ya sheria.
Chombo kilichokuwa kimebaki bado mioyoni mwa wananchi kilikuwa JWTZ.
Katika mwaka huu moja umerudisha imani na amani.
Asante sana, sasa hata uwekezaji kwa siye wananchi wa kawaida unaanza kuonekana, bila wasi wasi wa kutembelewa na TASK FORCE waliokuwa wanawatoa upepo wafanyabiashara na baadaye kubambika kodi za kufuja mitaji.
Niseme tu wanaokupinga ni wale walifaidika sana na ubambikaki kesi za uhujumu uchumi, uporaji, utekaji , ukabila na vitu kama hivyo.
Songa mbele mama, amani ni tunda la Mungu mwenyewe.
Nikupongeze kwa dhati mama Samia kwa kuongoza vema kwa huu mwaka mmoja.

NakaziaUmesahau nani walihusika na operation ya bureau de Change Arusha na biashara ya serikali kukusanya Korosho kusini mwaka 2018.
We jinga sana, kwani Magufuli alikuwa chama gani?ccm mnaendelea kukizika chama chenu kwa kuendekeza ujinga badala ya akili!
Kila kukicha hongera mama Samia badala ya kusema hongera serikali ya ccm!
Samia hana sera zake bali anatekeleza sera za ccm, amkeni enyi watu!
Kweli mkuu, ule ulikuwa uporaji wa wazi wazi.Umesahau nani walihusika na operation ya bureau de Change Arusha na biashara ya serikali kukusanya Korosho kusini mwaka 2018.
Mungu anaipenda sana Tanzania, tulikuwa tunaelekea kubaya sanaHakika nchi imepitia kipindi cha mambo mengine mazuri, mengine mabaya na mengine yanatisha.
No jamaa ana point hapo, hii tabia ya kutukuza sana kiongozi mkuu badala ya taasisi ambayo ilikuzwa sana kipindi cha Magufuli, haina afya kwa taasisi yenyewe, Nakumbuka hata Mkapa aliwahi kushauri hili kwa MagufuliWe jinga sana, kwani Magufuli alikuwa chama gani?
Kutukuza na kusifia vitu viwili tofauti.No jamaa ana point hapo, hii tabia ya kutukuza sana kiongozi mkuu badala ya taasisi ambayo ilikuzwa sana kipindi cha Magufuli, haina afya kwa taasisi yenyewe, Nakumbuka hata Mkapa aliwahi kushauri hili kwa Magufuli
Yule bwana alikuwa inategemea kaamkaje.Hata familia yake mwenyewe huenda ina mawazo kama ya kwako!
😁😁😁😁😁
Amani tunda la HAKINikupongeze kwa dhati mama Samia kwa kuongoza vema kwa huu mwaka mmoja.
Haikuwa rahisi, lakini kilichokuwa kinatusononesha wengi ni ile state of fear na uncertainities.
Tulikuwa tunaishi kila siku ikijitegemea, hujui kesho litaibuka lipi.
Vyombo vya serikali vilipewa mamlaka ya kufanya lolote kwa mtu yeyote.
TAKUKURU, TISS, TRA, POLISI , MAHAKAMA, walikuwa juu ya sheria.
Chombo kilichokuwa kimebaki bado mioyoni mwa wananchi kilikuwa JWTZ.
Katika mwaka huu moja umerudisha imani na amani.
Asante sana, sasa hata uwekezaji kwa siye wananchi wa kawaida unaanza kuonekana, bila wasi wasi wa kutembelewa na TASK FORCE waliokuwa wanawatoa upepo wafanyabiashara na baadaye kubambika kodi za kufuja mitaji.
Niseme tu wanaokupinga ni wale walifaidika sana na ubambikaki kesi za uhujumu uchumi, uporaji, utekaji , ukabila na vitu kama hivyo.
Songa mbele mama, amani ni tunda la Mungu mwenyewe.
Wafilipi 4:Amani tunda la HAKI
Ninaunga mkono hoja, iwe Magufuli Day.Tar 17 March iwe siku ya Mapumziko. Kukumbuka siku tulipopata uhuru tena...
Ila demokrasia izingatiweMama anaponya taifa
Mama anafungua nchi
Nani kama mama?
2025 CCM na Tume ya Taifa ya Uchaguzi wachapishe form moja moja za mgombea Urais.
Mama apite bila kupingwa, anastahili.