Ndiyo hiyo mali ya mwekezaji Tudor huko Grumeti. UnakaribishwaSingita JK Lodge
Ndiyo hiyo mali ya mwekezaji Tudor huko Grumeti. Unakaribishwa
hau machi ini madafu pa naiti?......givu mi ze toto pakeji inklusivu transipoti
Cheki ile link pale chini ya picha. Itakupa kila kitu.hau machi ini madafu pa naiti?......givu mi ze toto pakeji inklusivu transipoti
Luxury Suites - Double:
US$1 045
per person per night sharing
Single rate: Only applies if 3 singles or more are booked. Tariff is sharing rate plus 25% per person.
Luxury Villa Suite - Double:
US$4 500
per night for the suite
Yep!Hao ndio waliompeleka mahakamani mtoto wa darasa la 7 kwa sababu ya ng'ombe kuingia kwenye plot? Na akafungwa!
Bibi Kisura,luv.....in shillings please...I am Tanzanian I don't have dollars.....also include transport from Yaeda and back
Bibi Kisura,
Acha uvivu. dola moja ni shilingi elfu moja mia tano. Chukua kalkuleta hapo mezani upige hesabu.
Samahani wakuu Me mgeni hapa, hii iko pande zipi za TZ????Hao ndio waliompeleka mahakamani mtoto wa darasa la 7 kwa sababu ya ng'ombe kuingia kwenye plot? Na akafungwa!
Now you are talking. Kwa nini hukusema hivyo mapema? Hii lodge si kwa ajili yako na mimi. Ni kwa ajili ya akina Cindy Crawford, Jennifer Lopez, Angelina Jolie, na wale walio nazo kutoka Hollywood. Wewe ukienda pale wanaweza kukufanzia kama walivyomfanzia yule kijana wetu mchunga ng'ombe. Mtanzania pekee anayevinjari huko mara kwa mara ni JKngoja nikwambie.....kwa nini mimi mtanzania nilipe sawa na mzungu wakati hii kitu ipo nchini kwangu.....ni tabia mbaya kwa serikali kuwaachia hawa wawekezaji kutunyanyasa ndani ya nchi yetu...ingetakiwa moja ya sharti la uwekezaji liwe kuwa na bei ya mzalendo ( naruhusu kusahihishwa)..nimewahi kufika hapo but hata huduma ya mswahili na mzungu ni tofauti kabisa pamoja na yule shoga yake Bilila...huyu yeye rate zake ni kwa euros....ni aibu sana kwa taifa lenye vivutio kama hivi lakini wananchi wake hatuvifaidi
Samahani wakuu Me mgeni hapa, hii iko pande zipi za TZ????
Now you are talking. Kwa nini hukusema hivyo mapema? Hii lodge si kwa ajili yako na mimi. Ni kwa ajili ya akina Cindy Crawford, Jennifer Lopez, Angelina Jolie, na wale walio nazo kutoka Hollywood. Wewe ukienda pale wanaweza kukufanzia kama walivyomfanzia yule kijana wetu mchunga ng'ombe. Mtanzania pekee anayevinjari huko mara kwa mara ni JK