Kwenye website inasumbua nashindwa kuyapakuaaaSawa nenda sjuit.ac.tz yameshawekwa
Pharmaceutical ni Diploma na Certificate. Usahili ushafungwa. You can however visit the campus to learn more. All details are in the website.Kuna course za pharmaceuticals? Je vigezo ni vipi? Na ada ipoje
Jaribu kutumia computer ku access wavuti wa chuo.Kwenye website inasumbua nashindwa kuyapakuaaa
Mkuu naomba kufahamishwa hospital mnazo tumia kwa ajili ya practicalMy name is Augustine, Minister of Education at St. Joseph College of Health Sciences.
I am proud to welcome you into our beautiful campus situated at Boko Dovya, Small Town on Dar es salaam Outskirts.
I will be happy to answer any questions regarding registration, campus life and academic matters.
![]()
![]()
![]()
MuhimbiliMkuu naomba kufahamishwa hospital mnazo tumia kwa ajili ya practical
St.joseph mbona kwenye guide book ya nacte hakimo,whyMuhimbili
Temeke
Amana
Mwananyamala
Mbona kwenye guide book ya nacte 2020/2021 haipo inakuaje apoMuhimbili
Temeke
Amana
Mwananyamala
Yeah hata mm swali langu kama lako..so we have to be careful before applicationMbona kwenye guide book ya nacte 2020/2021 haipo inakuaje apo
Nitumie website ya nacte mzeee na me nichekiKwahali ninavyoiona sasa hvi, ukiwa na mwanao na unatamani asome kozi za afya hasa medicine ni suala la kujichanga tu na kumtafutia chuo kizuri cha private.
Leo nimeingia website ya Necta nikakuta tangazo lao la September 3 kuhusu selection vyuo vya umma, wanasema wanafunzi waliomba kozi za afya certificate na diploma tena wana sifa stahiki ni zaidi ya 13000 na ambao wamechaguliwa ni 3000+..
Hawa 10,000+ wameachwa, tena nimependa wamekuwa wawazi kwa kusema wana sifa stahiki kabisa ila ushindani na nafasi ndo imesababisha hvyo..
Nikajiuliza hawa waliopata wana ufaulu upi, nikapata jibu moja kwa moja ni One Kali tu za 4m4 kwa hali hii vyuo vya private havikimbiliki kama ndoto zako ni kusoma kozi za afya na vitaendelea kupiga hela milele.
Ombi langu ni kwa serikali tu, wajaribu kuongeza idadi ya vyuo vya afya kila mkoa maana hii faculty ni muhimu sana na wahitaji ni wengi
Ingia Google then andika nacte.. Itakupeleka moja kwa mojaNitumie website ya nacte mzeee na me nicheki
That'sKwahali ninavyoiona sasa hvi, ukiwa na mwanao na unatamani asome kozi za afya hasa medicine ni suala la kujichanga tu na kumtafutia chuo kizuri cha private.