Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Hah unamhakikishia kuwa atakuwa mgeni wako?
Yeah,napenda sana wagen
Hah unamhakikishia kuwa atakuwa mgeni wako?
jojina habari gani uliko!
uko mbali mama...
umekwenda kuishi mbali nami, jojina wa mama!!
umekwenda kuishi mbali nami jojina wa mama!!
sipati usingizi nikikumbuka, tulivyoishi mimi nawe jojinaaaaa!!!
siku uliyoondoka.. (mabazazi ndio yalikutorosha!!) uliniacha nalia na majonzi..!
sipati usingizi nikikumbuka, nilivyoishi mimi nawe jojinaa!!
cc; inauma jamani!!

mhhhhhhhhhh taratibu na mabusu hayo wifiiiii
mhhhhhhhhh maumivu ya kichwa huanza polepole
Wifi si unajua kupendwa ndo huku
Unasikia maumivu makali kupita kiasi..............
La moto ndo zuri si unajua likipoa hata nzi watataka kutua hapo
Asante sana mkuu, toa yako ya moyoni tu anaweza akakuelewa
Aiisee pole sana
Bado mimi
Sijui ni nani tu wa kunilavu!!
you are my wife.. my wife!
ndoa yetu haijavunjika!
iko tu dormant kama account za benki! i love you angel.
Tatizo ni huko uliko;
ungekuwa huku kwetu uswazi
ungeshapata.
you are my wife.. my wife!
ndoa yetu haijavunjika!
iko tu dormant kama account za benki! i love you angel.
Heheee ndo imetoka hiyo,ikurud ni pancha
Baada ya kijana kupigwa na jua muda mrefu sasa amepata barafu wa moyo tulizo la moyo anayefanya nikamilike bila yeye bado mimi ni nusu I real love her Angelicious come this way mama wakuone najisikia faraja kuwa na wewe njoo nikuonyeshe nini maana ya mapenzi wala hautajutia uamuzi wako wa kuja kwangu,najua wengi hawatafurahi ila itabidi walazimike tu maana hawana jinsi tena,I LOVE YOU,Jamani Bantu lady ,'valentina' ,njooni mumuone wifi yenu, rafiki yangu pacha wangu Rich Pol ndugu yangu mwenzio nimeondokana na ubachela nawengine ila tafadhali msije mkamwagia kitumbua changu mchanga maana wengine hamna roho nzuri kwa kweli