Welcome queen angelicious to my kingdom

Welcome queen angelicious to my kingdom

hivii mwenyekiti Baba V anajua?
halafu ndoa lini?
mtapenda ifungishwe na paroko Kaizer au Eiyer?

hongereni
Mwenyekiti asijali atapata taarifa,paroko yoyote tutakaye mpendekeza sisi atafungisha tu suala l ndoa usijal utapewa taarifa
 
Nikutakie kila la kheri , ingawaje nami UJANE (Widower) umeshanishinda! Nategemea kumuangukia mdada mmoja maarufu sana hapa Jf , soon from now .

Asante sana mkuu, toa yako ya moyoni tu anaweza akakuelewa
 
jojina habari gani uliko!

uko mbali mama...

umekwenda kuishi mbali nami, jojina wa mama!!

umekwenda kuishi mbali nami jojina wa mama!!

sipati usingizi nikikumbuka, tulivyoishi mimi nawe jojinaaaaa!!!

siku uliyoondoka.. (mabazazi ndio yalikutorosha!!) uliniacha nalia na majonzi..!

sipati usingizi nikikumbuka, nilivyoishi mimi nawe jojinaa!!

cc; inauma jamani!!
 
Mbona mi sipati wa kunidondokea??
 
mhhhhhhhhh maumivu ya kichwa huanza polepole
 
Back
Top Bottom