Welcome queen angelicious to my kingdom

Welcome queen angelicious to my kingdom

Daudi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
14,563
Reaction score
22,839
Baada ya kijana kupigwa na jua muda mrefu sasa amepata barafu wa moyo tulizo la moyo anayefanya nikamilike bila yeye bado mimi ni nusu I real love her Angelicious come this way mama wakuone najisikia faraja kuwa na wewe njoo nikuonyeshe nini maana ya mapenzi wala hautajutia uamuzi wako wa kuja kwangu,najua wengi hawatafurahi ila itabidi walazimike tu maana hawana jinsi tena,I LOVE YOU,Jamani Bantu lady ,'valentina' ,njooni mumuone wifi yenu, rafiki yangu pacha wangu Rich Pol ndugu yangu mwenzio nimeondokana na ubachela nawengine ila tafadhali msije mkamwagia kitumbua changu mchanga maana wengine hamna roho nzuri kwa kweli
 
Nikutakie kila la kheri , ingawaje nami UJANE (Widower) umeshanishinda! Nategemea kumuangukia mdada mmoja maarufu sana hapa Jf , soon from now .
 
wow karibu wifi Angelicious, hongera best yangu Daudi1. Mimi na mume wangu Sungura1980 tunawatakia mapenzi tele yenye raha na furaha.
Uvumilivu mwingi, all the best.
 
Wow!!!! Asante sana my love najua kuna watu viroho vinawaumaje?????? I love you too Daudi1 mwaaaaaaaa.........
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kijana kupigwa na jua muda mrefu sasa amepata barafu wa moyo tulizo la moyo anayefanya nikamilike bila yeye bado mimi ni nusu I real love her Angelicious come this way mama wakuone najisikia faraja kuwa na wewe njoo nikuonyeshe nini maana ya mapenzi wala hautajutia uamuzi wako wa kuja kwangu,najua wengi hawatafurahi ila itabidi walazimike tu maana hawana jinsi tena,I LOVE YOU,Jamani Bantu lady ,'valentina' ,njooni mumuone wifi yenu, rafiki yangu pacha wangu Rich Pol ndugu yangu mwenzio nimeondokana na ubachela nawengine ila tafadhali msije mkamwagia kitumbua changu mchanga maana wengine hamna roho nzuri kwa kweli

Bado mimi

Sijui ni nani tu wa kunilavu!!
 
wow karibu wifi Angelicious, hongera best yangu Daudi1. Mimi na mume wangu Sungura1980 tunawatakia mapenzi tele yenye raha na furaha.
Uvumilivu mwingi, all the best.

Bantu lady hebu jaribu kumuondole upweke baba paroko

Naona watu wanaangukiana tu!!
 
Ingekuwa kabla ningekuondolea baba paroko, ila sasa ni ngumu nimeshatubu kwa mume wangu Sungura1980 kuwa sitamtenda vibaya tena.
Ndoa tamu baba paroko.
 
wow karibu wifi Angelicious, hongera best yangu Daudi1. Mimi na mume wangu Sungura1980 tunawatakia mapenzi tele yenye raha na furaha.
Uvumilivu mwingi, all the best.

Asante wifi yangu nashukuru kuingia kwenye familia yenu
 
Ingekuwa kabla ningekuondolea baba paroko, ila sasa ni ngumu nimeshatubu kwa mume wangu Sungura1980 kuwa sitamtenda vibaya tena.
Ndoa tamu baba paroko.

images
 
Wow!!!! Asante sana my love najua kuna watu viroho vinawaumaje?????? I love you too Daudi1 mwaaaaaaaa.........
Na watuacheeee tupumue tufanye yetu kwakweli kwako nimekolea mama sauti yako tu mie hoi
 
Aiseeeeeeee!!!!!!!!!!!

Sasa nitakuwa mgeni wa nani mie?
Mbona waumini huwa wanakuja wengi parokiani fanya kuselect mmoja japo utakuwa umekiuka miiko ya uparoko
 
Back
Top Bottom