Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
Ukiyavulia nguo maji kubali kuyaoga tu.
Walala hoi bwana juzijuzi tumesheherekea sikukuu kwa furaha watu wakanywa mpaka basi sasa nashangaa mnataka muanze kulia, jana nimepita maeneo fulani nikamkuta mzee mmoja anataka kuntwanga mtoto wake kisa aliomba fedha yakununulia mahitaji ya shuld.
Nilishangaa sana hivi mbona sikukuu huwa mnalewa sana je guwa mnashindwa kuweka akiba wakati mnajua shule zinafungua karibuni? Au mnajisahau kwaajili ya umaskini wetu?, ndio tunakubali kuwa sisi ni maskini pia hata elimu ni muhimu kwa mtoto wako, muwe mnaweka akiba wazazi wangu elimu ni muhimu kwa watoto wako.