Wekeni akiba msomeshe.

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Ukiyavulia nguo maji kubali kuyaoga tu.

Walala hoi bwana juzijuzi tumesheherekea sikukuu kwa furaha watu wakanywa mpaka basi sasa nashangaa mnataka muanze kulia, jana nimepita maeneo fulani nikamkuta mzee mmoja anataka kuntwanga mtoto wake kisa aliomba fedha yakununulia mahitaji ya shuld.

Nilishangaa sana hivi mbona sikukuu huwa mnalewa sana je guwa mnashindwa kuweka akiba wakati mnajua shule zinafungua karibuni? Au mnajisahau kwaajili ya umaskini wetu?, ndio tunakubali kuwa sisi ni maskini pia hata elimu ni muhimu kwa mtoto wako, muwe mnaweka akiba wazazi wangu elimu ni muhimu kwa watoto wako.
 
MTALINGOLO!
Headin' ya Thread yako nilipoiona tu!
MOYO wangu ukafanya
Ppuuuhh !
J'3 natakiwa nikalipe nusu ya fees iliyobaki , na vyanzo vinavyoniwezesha bado havijaniletea return inavyopaswa.
Nikasema huyu mtoa sredi kanichungulia au ? Aisey umeongea neno Sustainable pangekua na hapa kunachaguliwa Sred bora ya wiki
Kwa nini usingeramba VOTE yangu ! ?
 
wazazi tunajitahidi,
wanaolipiwa ada ndo hao siku ya mitihani wanaandika
hip-hop. sasa tuendelee kuwalipia au tukauke.
 
Yaani mie huwa nataka kupata hat atak nikipokea ripoti zao.
Ila sasa hivi nimebadili utaratibu
nakuwa mzazi na mwalimu

naanza kutoa weekly test, nimechoka kulipa ada ndefu afu return siioni kihivyo.

Poa kaka ni katika kukumbushana tu, si unajua elimu ndo urithi wa watoto wetu kwa karne hii.
 
wazazi tunajitahidi,
wanaolipiwa ada ndo hao siku ya mitihani wanaandika
hip-hop. sasa tuendelee kuwalipia au tukauke.

Tusikate tamaa lakini tujitahidi kuweka msisitizo kwa vijana wetu juu ya suala la elimu na kuwapa mwongozo kwamba maisha ya sasa bila elimu ni magumu.
 
Yaani mie huwa nataka kupata hat atak nikipokea ripoti zao.
Ila sasa hivi nimebadili utaratibu
nakuwa mzazi na mwalimu

naanza kutoa weekly test, nimechoka kulipa ada ndefu afu return siioni kihivyo.

Hiyo ni nzuri zaidi Kongosho, wapime pia nyumbani ujue uwezo wao shuleni ukoje. Watoto wasikuhzi wanaweza wakajisahishia hatakama wamekosa au kujipa maswali na kujisahishia we ukajua wako swafi kilasi.
 
wazazi tunajitahidi,
wanaolipiwa ada ndo hao siku ya mitihani wanaandika
hip-hop. sasa tuendelee kuwalipia au tukauke.

Mamndenyi,
Tukisema tusilipe itasomeka tumekwepa WAJIBU, ambavyo historia itakuja kutuhukumu.
Ni kuwatendea kila kilicho cha wajibu, washindwe wao na historia ije kuwahukumu wao, fullstop.
 
Kwani unadhani hawafahamu kuwa elimu ndio urithi pekee ambao wanaweza kuwapa watoto wao? Achilia mbali wazazi wasio na uwezo. Kuna wazazi wengine ni matajiri lakini hawawapi watoto mahitaji ya shule. Kama huamini njoo nikusimulie story ya maisha yangu jinsi nilivyosoma na kuishi kama chokoraa na omba omba
 
Pole sana mkuu kama ulipata taabu katika kupata elimu, waweza dondosha sread au imix hapahapa hyo story yako mkuu.
 
Ushauri mzuri,ila pia unatakiwa usali Mungu awalinde tu wanao,mana unakuta wazazi wanajituma ila wanaosomeshwa ndo wanazingua
 
Yaani mie huwa nataka kupata hat atak nikipokea ripoti zao.
Ila sasa hivi nimebadili utaratibu
nakuwa mzazi na mwalimu

naanza kutoa weekly test, nimechoka kulipa ada ndefu afu return siioni kihivyo.
Kuna mzazi m1 alimlipisha mwane hela yote aliomsomeshea tangia nursery.
.kisa mwana kataga
 
Pole sana mkuu kama ulipata taabu katika kupata elimu, waweza dondosha sread au imix hapahapa hyo story yako mkuu.

Sio katika kusoma tu mkuu. Maisha yangu yote nimeishi kwa shida shida. I wish ningeweza kuishusha but kama nikiishusha si nitajaza thread nzima
 
Nawashukuru wazazi wangu kwa namna walivojifunga mkanda kunifikisha hapa nilipo!mungu awape maisha marefu wafaidi matunda yangu!kusomesha sio mchezo nimewapokea kijiti kwakusomesha kitinda mimba wetu lol!nawapongeza wazee c mchezo!
 
Sio katika kusoma tu mkuu. Maisha yangu yote nimeishi kwa shida shida. I wish ningeweza kuishusha but kama nikiishusha si nitajaza thread nzima

Basi shusha uzi mpya wadau tupate kujifunza kutoka kwako, napia kuna watu wamepitia mapito kama yako pia mta/tutaweza kubadirishana mawili matatu...
 
Nawashukuru wazazi wangu kwa namna walivojifunga mkanda kunifikisha hapa nilipo!mungu awape maisha marefu wafaidi matunda yangu!kusomesha sio mchezo nimewapokea kijiti kwakusomesha kitinda mimba wetu lol!nawapongeza wazee c mchezo!

Naungana pamoja nawe katika kuwapa shukrani wazazi wote wanaojitoa kwa watoto wao kuwapatia elimu, mzazi wangu pia namwombea maisha mema, marefu na yenye baraka,
 
Hngera kwkao wewe uliyebahatika kupewa elimu bora na wazazi wako. Wengine hatujabahatika kupata bahati kama yako
 
Hngera kwkao wewe uliyebahatika kupewa elimu bora na wazazi wako. Wengine hatujabahatika kupata bahati kama yako

Pole sn aisee,still wanastahili cfa kwan hata km hawakuwa na uwezo wa kukulipia ada ila wamekuwezesha kuwa km ulivo leo na hata km unajiendeleza mwenyewe bila wao ucngekuwepo dunian,so washukuru tu hata kwa kukuwezesha **** km ulivo,ila nawe umejifunza jipange kuwasomesha wanao!
 
Naungana pamoja nawe katika kuwapa shukrani wazazi wote wanaojitoa kwa watoto wao kuwapatia elimu, mzazi wangu pia namwombea maisha mema, marefu na yenye baraka,

Ni kweli mkuu,saa ingind huwa najiuliza waliwezaje maana ukiangalia kipato ni cha kawaida tu alafu mnajikuta mlikua hata 3 wote mnasoma labda kwa kupishana vidato tu na still wote mmesoma tena kwa aman tu wengine private dah!hata celewi walijinyima kiac gani mungu awaweke tu jaman lol!
 
Yaani mie huwa nataka kupata hat atak nikipokea ripoti zao.
Ila sasa hivi nimebadili utaratibu
nakuwa mzazi na mwalimu

naanza kutoa weekly test, nimechoka kulipa ada ndefu afu return siioni kihivyo.

Umenigusa moja kwa moja.. Nna kamjomba kangu katoto ka marehem csta nami najipigagapigaga mfukoni kapate taaluma kasione dunia imemtenga.. Ila daaaah ikija ripoti ndo nachoka hakawi kamwisho ila wastani usually ni 'f' hazidi alama 20 kwa somo, hamadi kashule kao kamefilisika(biafra) na ndio kapo form four si kakaenda kuleta joining instruction form ya perfect vision jumla ya michango yote kwa mwaka ni kama laki 9 hivi, wakati mi mwenyewe ada ya degree yangu kwa 1st year ilikuwa ndio hiyo laki9 kabla haijapanda miaka ilofatia..
Najua haka kauncle kakifaulu sana katapata mwanaasha jk au jesca magufuli.. Hii hela kuitoa kuitoa mi kusikia uchuuuungu.. Bora nkatafutie ufundi atleast kajue hata kuchezea nywele kakaokoteza vijihela vya kunnua pedi...
NACHANGANYIKIWA KABISA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom