Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
WEKA WINDOW 11 MPYA KWENYE PC AMBAYO NOT SUPPORTED !!!
Je unapenda kuinstall window 11 kwenye kifaa chako lakini Changamoto haikubali mean unsupported kutokana na haijakizi vigezo vyote ?
Najua ni moja wapo ya changamoto ya watu wengi sana kutokana na Pc tunazozimiliki ni za kizamani so mambo mengi yapo UN supported.
Ivyo uwapa wakati mgumu watu kuwa nayo kutokana na kuwa hawajakizi mahitaji !! Kama unahitaji kuwa nayo basi fanya hivi
• Kwanza Fanya bootable ya Window kwenye flash yako.
•tumia program kama Rufus , power iso au command prompt Ukimaliza Sasa kufanya bootable.
• Zima au restart PC yako kama kwa ajili ya kupiga window
• Sasa bonyeza f12 , f9 ,Esc kuchagua boot options inategemea na aina gani ya Kompyuta / laptop
• baada ya hapo chagua flash yako yenye window kisha itawaka utaona lugha , time pamoja na keyboard uchague
• Sasa wewe bonyeza shift + f10 utaletewa cmd kisha andika regedit alafu piga Enter
Kisha fanya hivi ingia kwenye ya
HKEY_LOCAL_MACHINE >> SYSTEM alafu >> Setup kisha right click kwenye Setup folder chagua New kisha key option.
Andika keylab kisha press Enter unaweza kuandika " BypassTMPcheck" kisha enter
Right click Sasa kwenye Labconfig (folder) key kisha chagua New alafu chagua DWORD(32- bit) value option
Andika iyo DWORD ni BypassSecureBootCheck kisha Enter Sasa malizia kwa ku double click kwenye iyo iyo BypassSecureBootCheck alafu badili value kutoka 0 kuwa 1 kisha bonyeza Ok button
Kisha utatoka kwenye regedit na kurudi mwanzoni kabisa kwenye kupiga window bonyeza Next kisha install Now utaweza kupiga window 11 kwenye kompyuta yako
Natumai utaweza kuiweka window 11 Sasa kwenye PC yako ambayo not support sio tuachie maoni yako umeweza au lah ?
Teknolojia ni Yetu Sote
Kama ujaelewa unaweza tizama picha zaidi View attachment 2144350View attachment 2144353View attachment 2144355View attachment 2144354View attachment 2144351View attachment 2144352View attachment 2144356View attachment 2144357