Njooni tu sisi tunapenda kuishi na raia Kwa amani ingawa sometimes mnazinguaNawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano?
KUna ndugu yangu alisema kataa kabisa urafiki na askari polisi. Naunga mkono hoja.
Mimi nasisititiza kama kichwa cha habari kinavyosema, tengeneza urafiki na askari wa mabakabaka, hawa watu wapo very humble, wana upendo na heshima katika jamii, japo wachache wanawaharibia.
Kuna ndugu yangu alikuwa ni fundi wa gereji za magari mkoa Fulani sio dar. Alikuwa anawatengenezea sana wanajeshi magari yao, ikafika kipindi wasipomkuta dogo wanamtafuta anaenda mpaka kambini kuchukua magari na anawatengenezea kwa uaminifu.
Siku moja katika viwanja vyake dogo vya starehe kuna polisi akamletea ubabe akampiga akaita wenzake wakaenda kumsweka ndani ishu ni ya wanawake.
Mimi napewa taarifa usiku saa5 na mtu aliyekuwepo mule ndani club dogo wamempga na wamemchukua, usiku huo huo nikavuta waya kwa jamaa mmoja mwanajeshi alikuwa anamkubali sana dogo, baba yake alikuwa mkubwa wa kambi katika huo mkoa,
Akaniuliza ilikuwaje nikamwambia kama nilivyoambiwa akaniambia ok tunakuja hapo, usiku saa5 inakimbilia saa6 wakaja wanajeshi watatu na yule jamaa wa nne.
Wakasema vaa twende kituoni, na gari mpaka kituoni wakafika reception wakasema tumekuja kumchukua mdogo wetu muda huu, polisi wakaanza hizo sio protocol dogo alikuwa analeta fujo, wakasema mkitaka pafungwe hapa leo huyo dogo msimtoe uone.
Ikabidi waende kumtoa selo usiku saa6, nimekaa mbali naogopa hapo, baada ya kumtoa jamaa akasema nitakutafuta, tukaondoka.
Nawapa hongera bakabaka wana nidhamu kubwa sana.bora urafiki na bakabaka.
Share kisa chako na bakabaka.
Mkuu wewe ni bakabaka?Njooni tu sisi tunapenda kuishi na raia Kwa amani ingawa sometimes mnazingua
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Hilo jina silipendiMkuu wewe ni bakabaka?
tamaa wivu ukijumlisha na roho mbayaDaaah hii kitu nishashudia tena mwaka Jana mwezi november.
Huwa ni tamaa au ni nini?
Pamoja na madhaifu yao kama wanadamu wengine lakini JWTZ ni watu powa sana.Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano?
KUna ndugu yangu alisema kataa kabisa urafiki na askari polisi. Naunga mkono hoja.
Mimi nasisititiza kama kichwa cha habari kinavyosema, tengeneza urafiki na askari wa mabakabaka, hawa watu wapo very humble, wana upendo na heshima katika jamii, japo wachache wanawaharibia.
Kuna ndugu yangu alikuwa ni fundi wa gereji za magari mkoa Fulani sio dar. Alikuwa anawatengenezea sana wanajeshi magari yao, ikafika kipindi wasipomkuta dogo wanamtafuta anaenda mpaka kambini kuchukua magari na anawatengenezea kwa uaminifu.
Siku moja katika viwanja vyake dogo vya starehe kuna polisi akamletea ubabe akampiga akaita wenzake wakaenda kumsweka ndani ishu ni ya wanawake.
Mimi napewa taarifa usiku saa5 na mtu aliyekuwepo mule ndani club dogo wamempga na wamemchukua, usiku huo huo nikavuta waya kwa jamaa mmoja mwanajeshi alikuwa anamkubali sana dogo, baba yake alikuwa mkubwa wa kambi katika huo mkoa,
Akaniuliza ilikuwaje nikamwambia kama nilivyoambiwa akaniambia ok tunakuja hapo, usiku saa5 inakimbilia saa6 wakaja wanajeshi watatu na yule jamaa wa nne.
Wakasema vaa twende kituoni, na gari mpaka kituoni wakafika reception wakasema tumekuja kumchukua mdogo wetu muda huu, polisi wakaanza hizo sio protocol dogo alikuwa analeta fujo, wakasema mkitaka pafungwe hapa leo huyo dogo msimtoe uone.
Ikabidi waende kumtoa selo usiku saa6, nimekaa mbali naogopa hapo, baada ya kumtoa jamaa akasema nitakutafuta, tukaondoka.
Nawapa hongera bakabaka wana nidhamu kubwa sana.bora urafiki na bakabaka.
Share kisa chako na bakabaka.
Hakuna mtu wa kumtoa Mtu mwingine kinguvu awapo kituo cha Polisi, hii yako ni Chai kama chai zingineNawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano?

sawa tunashukuru kwa mchango wako.Hakuna mtu wa kumtoa Mtu mwingine kinguvu awapo kituo cha Polisi, hii yako ni Chai kama chai zingine
Wanajeshi ni watu wazuri.Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano?
KUna ndugu yangu alisema kataa kabisa urafiki na askari polisi. Naunga mkono hoja.
Mimi nasisititiza kama kichwa cha habari kinavyosema, tengeneza urafiki na askari wa mabakabaka, hawa watu wapo very humble, wana upendo na heshima katika jamii, japo wachache wanawaharibia.
Kuna ndugu yangu alikuwa ni fundi wa gereji za magari mkoa Fulani sio dar. Alikuwa anawatengenezea sana wanajeshi magari yao, ikafika kipindi wasipomkuta dogo wanamtafuta anaenda mpaka kambini kuchukua magari na anawatengenezea kwa uaminifu.
Siku moja katika viwanja vyake dogo vya starehe kuna polisi akamletea ubabe akampiga akaita wenzake wakaenda kumsweka ndani ishu ni ya wanawake.
Mimi napewa taarifa usiku saa5 na mtu aliyekuwepo mule ndani club dogo wamempga na wamemchukua, usiku huo huo nikavuta waya kwa jamaa mmoja mwanajeshi alikuwa anamkubali sana dogo, baba yake alikuwa mkubwa wa kambi katika huo mkoa,
Akaniuliza ilikuwaje nikamwambia kama nilivyoambiwa akaniambia ok tunakuja hapo, usiku saa5 inakimbilia saa6 wakaja wanajeshi watatu na yule jamaa wa nne.
Wakasema vaa twende kituoni, na gari mpaka kituoni wakafika reception wakasema tumekuja kumchukua mdogo wetu muda huu, polisi wakaanza hizo sio protocol dogo alikuwa analeta fujo, wakasema mkitaka pafungwe hapa leo huyo dogo msimtoe uone.
Ikabidi waende kumtoa selo usiku saa6, nimekaa mbali naogopa hapo, baada ya kumtoa jamaa akasema nitakutafuta, tukaondoka.
Nawapa hongera bakabaka wana nidhamu kubwa sana.bora urafiki na bakabaka.
Share kisa chako na bakabaka.
bas ujapata kujua wajeda wanatendaga nini kwa vituo vya mapongo especially case iwe ni base less watu wanatolewaga lockup na makwenzi wanapigwaHakuna mtu wa kumtoa Mtu mwingine kinguvu awapo kituo cha Polisi, hii yako ni Chai kama chai zingine
Na, kinyume chake ni balaa, hapo wamekusaidia, lakini wanavunja uta wala wa sheria, mwenye jukumu la law enforcement ni polisi, sio wanajeshi, hawa hujiona wapo juu ya sheria, sheria za balabalani, wanavunja wanavyo taka bila dharula yoyote, hujiona wao ndio wenye "monopoly of violence"Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano?
KUna ndugu yangu alisema kataa kabisa urafiki na askari polisi. Naunga mkono hoja.
Mimi nasisititiza kama kichwa cha habari kinavyosema, tengeneza urafiki na askari wa mabakabaka, hawa watu wapo very humble, wana upendo na heshima katika jamii, japo wachache wanawaharibia.
Kuna ndugu yangu alikuwa ni fundi wa gereji za magari mkoa Fulani sio dar. Alikuwa anawatengenezea sana wanajeshi magari yao, ikafika kipindi wasipomkuta dogo wanamtafuta anaenda mpaka kambini kuchukua magari na anawatengenezea kwa uaminifu.
Siku moja katika viwanja vyake dogo vya starehe kuna polisi akamletea ubabe akampiga akaita wenzake wakaenda kumsweka ndani ishu ni ya wanawake.
Mimi napewa taarifa usiku saa5 na mtu aliyekuwepo mule ndani club dogo wamempga na wamemchukua, usiku huo huo nikavuta waya kwa jamaa mmoja mwanajeshi alikuwa anamkubali sana dogo, baba yake alikuwa mkubwa wa kambi katika huo mkoa,
Akaniuliza ilikuwaje nikamwambia kama nilivyoambiwa akaniambia ok tunakuja hapo, usiku saa5 inakimbilia saa6 wakaja wanajeshi watatu na yule jamaa wa nne.
Wakasema vaa twende kituoni, na gari mpaka kituoni wakafika reception wakasema tumekuja kumchukua mdogo wetu muda huu, polisi wakaanza hizo sio protocol dogo alikuwa analeta fujo, wakasema mkitaka pafungwe hapa leo huyo dogo msimtoe uone.
Ikabidi waende kumtoa selo usiku saa6, nimekaa mbali naogopa hapo, baada ya kumtoa jamaa akasema nitakutafuta, tukaondoka.
Nawapa hongera bakabaka wana nidhamu kubwa sana.bora urafiki na bakabaka.
Share kisa chako na bakabaka.
Haya ni mawazo ya watu maskini. Ukiwa na mawazo ya kimaskini daima utajibebisha kwa wanaume wenzako.Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano?