Mkuu hii umepiga wew au umeitoa somewhere!
[emoji122]
Hizi picha kama unapiga then unajua.unankumbusha mbali,nlipenda sanaa hiyo mambo ya picha.
Sio musoma hii kwel
Lake victoria
Ntaleta usijal za simu.hizi ninazo zenye sura angu tu hapa.but soon nitazileta.Tukumbushie za kwako hata mbili tatu mkuu
[emoji122][emoji122][emoji122]
ndo penyewe mkuuSio musoma hii kwel