Kuumizana huku..Mzee mbona tunatoana relini, nimehama kuangalia mandhari na kuwaza mambo makubwa
WaoooooohSehemu niipendayo!
ni Wapi hapa...?Heshima yenu wadau.
Piga picha kisha tuma hapa tufurahie mandhari za maeneo mbalimbali.
Binafsi natumia simu.
Kama unaedit fanya hivyo...
View attachment 694617
View attachment 694618
Nimepamiss nyumbani [emoji16] [emoji16]Arusha Tanzania,Philips junction.
Kuja in Chines voiceNimepamiss nyumbani [emoji16] [emoji16]
Nakuja very soon.Kuja in Chines voice