Weka order ya laptop, blackberry, samsung galaxy s1,s2 au s3, ipad

Habar wapendwa katika bwana,
Nashukuru kwa mail zenu nyingi na ambazo bado zinaendelea kuingia kila kukicha nipo nahangaikia mizigo kidogo imekua adimu ila mpaka ijumaa ntakua vizuri' kwahiyo msife moyo na kuona nimepotea. Kijana nachakalika wakuu. Asanten na shukran kwa kuwa wavumilivu.
 
Pm me bei ya bb torch 2 9810 na bold 9900, fair price plz ili ukija,nichukue fasta mojawapo
 
I pad (or the like) zinaendaje kwa Bei?
Waweza cheki na mini-zake pia
 
Mkubwa Ganso nikuletee bold 9900 utanipa laki saba (700,000)?!

Hahahaha, is tht wat u call cheap???? Groups za deals fbook watu wanauza 500-600 ..thot utakua unauza afadhali kumbe afadhali ninunue uko uko....aksante sitaki tena, kamata wengine sio wote mafala
 
Kumbe ulijua una sehemu ya kununua mzee. Waachie wenzako basi na matusi yako peleka kwa familia yako na sio kwa wateja wangu. Watu wengine nyie ndo mna historia za kuwa wachawi fuatilia vizur

Uchawi umetoka wapi mkuu?? hahaha, ukweli unauma siku zote!!! Habari ndo hiyo
 
Back
Top Bottom