Weka order mashuka mtumba safi 1st grade whatsapp 0716053305

Weka order mashuka mtumba safi 1st grade whatsapp 0716053305

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
811
Rafiki yangu anauza mashuka ya mtumba safi sana, mazuri ya grade ya juu kwa bei nafuu sana. Kwa kutaka sample whatsapp 0716053305. Bei maelewano
 
Hivi naweza kupata wapi mashuka ya viwango hivyo lakini yakiwa mapya kabisa bila kutumika? Na bei zake zimekaaje?
 
Hivi naweza kupata wapi mashuka ya viwango hivyo lakini yakiwa mapya kabisa bila kutumika? Na bei zake zimekaaje?

Yapo, namba za simu zipo hapo fanya mawasiliano utapata, nzuri sana.
 
Kama unafanya biashara kuwa serious kwenye matangazo yako,weka picha ya bidhaa na bei yake.Umepata nafasi ya kutangaza bure JF ,je ungekuwa unalipia ungeweka tangazo ambalo halijakamilika kama hili?
 
Tunasubiria hizo picha na bei zake ili tuweke order
 
bei inaanzia sh ngap? nlitaka ya elf 5 tano matano
 
Mi ni mnunuzi mzuri ila nahitaji picha. Bei na ulipo nikague ubora kwa kushika.
 
Back
Top Bottom