Weka neno

Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,034
2,249
c50c4418607bdde3d743a8175b1d2fc0.jpg
29619ec5048cb15a6405944ea56eb3dd.jpg
 
Huyu wa kupigwa na ccm kayataka inakuaje aende kuwafuata ccm kama sio kutaka kudundwa
 
Huyu wa kupigwa na ccm kayataka inakuaje aende kuwafuata ccm kama sio kutaka kudundwa
Acha uzuzu,chama tawala chatakiwa kuonyesha mfano katika kuienzi amani nchini sio style hizo za 'ki~INTARAHAMWE'.
 
Acha uzuzu,chama tawala chatakiwa kuonyesha mfano katika kuienzi amani nchini sio style hizo za 'ki~INTARAHAMWE'.
Hahahahaaaa dah inakuuma sana kudundwa huyu mlugaliga mfia chama sasa wewe jiulize kama ingekua n swala la ugomv usio wa kujitakia iweje yeye peke ake ndio awe kavaa nguo za cdm nilisikia juz sio siku nying mshabikk wa timu gani sijui huko uingereza amedundwa nusura afe na macho anaweza asione kwa mujib wa madaktar
Unajua kosa lake ?
Alishangilia timu yake upande wa wapinzan
Sasa jiulize huko uinggereza tunakosema wamestaarabika nusura wamtoe mtu roh kisa mpira itakua huyo mwehu
We kama unaipenda cdm wasubil wanacdm wenzio unaipenda ccm wafuate wenzio
Tena ccm wana huruma kama angekua mwanaccm amevaa kikada alaf akaenda kwa wanacdm katika mkitano wao sdhan anhetoka na hali gan
Maana hao naona wanamfukuza sio kipigo hicho
 
Kuna chama fulani wenyewe wakiambiwa fuateni taratibu wenyewe wanalazimisha tu acha wapigwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom