Weka mbali na watoto

Weka mbali na watoto

a2081484578a41ec6ab028407800ab77.jpg
Nature is always absolute....cheki dogo alikoweka mkono
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
he he! ni maneno tu sweet huwa sichepuki wala sijawahi nasinto wahi chepuka.. usinune sasa ntakuletea dozen ya kitenge na lile gauni ulilonambia
 
he he! ni maneno tu sweet huwa sichepuki wala sijawahi nasinto wahi chepuka.. usinune sasa ntakuletea dozen ya kitenge na lile gauni ulilonambia
Yaani nilinunaje honey[emoji6]
 
Yaani nilinunaje honey[emoji6]
sinakujua kidogo tu ushafimba!
halafu mbona jana kile kichaka cha nyumbani kilikuwa kinatikisika! kinaenda mbele kinarudi nyuma! kulikuwa kunanini..?
 
hahaha me naangalia huo mkono dogo alipouweka tu.hicho aluchokiona hapo hakitakuja futika kamwe kwenye maisha yakee.
 
sinakujua kidogo tu ushafimba!
halafu mbona jana kile kichaka cha nyumbani kilikuwa kinatikisika! kinaenda mbele kinarudi nyuma! kulikuwa kunanini..?
Hata sijatoka nje jan nilishinda ndani tu my
 
Masikhara masikhara mbuzi alizaa na mama ake.......................
 
Alafu ukute dadaake ajapiga kufuli kwa ndani.
 
Back
Top Bottom