Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Dec 24, 2014 #2 "wanafuzi kupata mimba masomoni ni kiherehere chao" by Mr.Kikwete
palalisote JF-Expert Member Joined Aug 4, 2010 Posts 8,335 Reaction score 1,463 Dec 24, 2014 Thread starter #3 Daudi Mchambuzi said: "wanafuzi kupata mimba masomoni ni kiherehere chao" by Mr.Kikwete Click to expand... mwenzie hapo pembeni kaduwaa kabisa
Daudi Mchambuzi said: "wanafuzi kupata mimba masomoni ni kiherehere chao" by Mr.Kikwete Click to expand... mwenzie hapo pembeni kaduwaa kabisa
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Dec 24, 2014 #4 Tunda la kiumbe ni kweli huwa tamu na tusimlaumu maana hata adam na eva ndo hayo hayo aendelee na somo lake tu maana maji yakimwageka huwa hayazoeliki
Tunda la kiumbe ni kweli huwa tamu na tusimlaumu maana hata adam na eva ndo hayo hayo aendelee na somo lake tu maana maji yakimwageka huwa hayazoeliki
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 8,094 Reaction score 7,854 Dec 24, 2014 #5 Nampa hongera kwani ameamua kuzikabili changamoto na kuzifanyia kazi. Unaweza kushangaa amefika mbali huyo, kwani alipojikwaa alijifunza na kuamua kunyanyuka na kuendelea mbele.
Nampa hongera kwani ameamua kuzikabili changamoto na kuzifanyia kazi. Unaweza kushangaa amefika mbali huyo, kwani alipojikwaa alijifunza na kuamua kunyanyuka na kuendelea mbele.
K kamagetac JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 2,479 Reaction score 644 Dec 24, 2014 #6 Aongeze bidii atafika tu
MZIMU JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 4,058 Reaction score 1,377 Dec 25, 2014 #7 MEANDU said: Click to expand... Ametumia haki zake za kibinadamu vizuri.
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,897 Reaction score 113,392 Dec 25, 2014 #8 MEANDU said: Click to expand... Hucheka kovu asiekua na jeraha
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,897 Reaction score 113,392 Dec 25, 2014 #9 bitimkongwe said: Nampa hongera kwani ameamua kuzikabili changamoto na kuzifanyia kazi. Unaweza kushangaa amefika mbali huyo, kwani alipojikwaa alijifunza na kuamua kunyanyuka na kuendelea mbele. Click to expand... Kweli mkuu...... Heri kufa macho, kuliko kufa moyo
bitimkongwe said: Nampa hongera kwani ameamua kuzikabili changamoto na kuzifanyia kazi. Unaweza kushangaa amefika mbali huyo, kwani alipojikwaa alijifunza na kuamua kunyanyuka na kuendelea mbele. Click to expand... Kweli mkuu...... Heri kufa macho, kuliko kufa moyo