Kauli hii inamaanisha kuwa hatutakiwi kuamini unacho kisema............................................
kweli aisee hata hiki ulichokiandika wewe hatutakiwi kukiamini
Usiamini endapo unaamini msemo wa mtoa mada.
daah! kizunguzungu
[QUOaTE=DZUDZUKU;8953473]Fumba macho aiseee, mambo haya bwana.........
Siamini kama kweli utaanguka halafu wa kukubeba aitokee