Kwa wasiojua wanafikiri hili neno limeibuka hivi karibuni na hasa ni mabaki ya madini lakini ukweli ni kuwa makinikia ni kitu kinachobaki baada ya kukamua au kutoa kitu remnants,leftovers hata ukikamua nazi machicha yanayobaki na tui linalobaki ni makinikia hali kadhalika miwa ikikamuliwa mabaki ni makinikia