Boss tangu umemwachia Try tomorrow njaa imezidi, tunashindia mlo mmoja. Huyu dada barabara ni bahili haijawahi kutokea akipika chakula finyango moja tunagawana watu saba. Si unaona afya zetu zilivyoporomoka? Hata bi EFUE kosa analotuhumiwa nalo ni kuyokana na kutoroka kwenda kuomba ukoko kwa mama ntilie maana haka ka dada kanatupimia chakula kidogo sana