SyntaxReaper
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 364
- 293
Sometimes stoploss inwz kuwa adui kwako na pia rafiki kwako.ziko poa sanaa mkuu, big up ila usiache stop loss, soko linapatwaga na mapepo sometime
Umetisha mzee baba ..itakuwa binge ya Setup hiiNaongezea ila ninazo nyingi watchlist yangu ni pair 10+ including cirpto chukua iyo View attachment 1071097
Sent using Jamii Forums mobile app
Stop loss inapokuwa hited halafu market ikaenda on your direction inakuwa ni adui sana..
ziko poa sanaa mkuu, big up ila usiache stop loss, soko linapatwaga na mapepo sometime
setup zile unazoziona zimekaa poa nyingi ndo zinakula stop loss. mara nyingi setup iliyo clear ni hatariumenichekesha xn
Mi huwa nazitumia izo weekly set-up mara nyng lkn huwa sina bahati nazo kbx...Nmeamua kudeal na RSI+Stochastic Os. na mara nyng zinanipa faida xn....Juzi jioni nmeingia kwny EUR/USD nkapata pips kama 140+, jana asbh ndo nmetoka kwenye sokosetup zile unazoziona zimekaa poa nyingi ndo zinakula stop loss. mara nyingi setup iliyo clear ni hatari
Mi huwa nazitumia izo weekly set-up mara nyng lkn huwa sina bahati nazo kbx...Nmeamua kudeal na RSI+Stochastic Os. na mara nyng zinanipa faida xn....Juzi jioni nmeingia kwny EUR/USD nkapata pips kama 140+, jana asbh ndo nmetoka kwenye soko View attachment 1076906
mzee mwenzangu uyo moyo wa kuhold pair zenye vichaa kama EUR/USD, USD/JPY huwa haupohongera ila kwa setup za weekly ni vizuri kuwa na subira ya ku hold na lot iwe ndogo kuweza kuhimili mitikisiko ya up na down
mzee mwenzangu uyo moyo wa kuhold pair zenye vichaa kama EUR/USD, USD/JPY huwa haupo...nkiingia sokoni natolea macho laptop kama nacheki movie