theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,715
Naomba umalizie hiyo statement PM pleaseMeshindwa
njiwa anaelekea kuingia bandan, nafuatilia mkuu, kazana kazana
Mdogo wangu huyo jamani kufweni na hamu zenu tu
Mzigua unacheka nn sasa jamani
Nifanye shemeji yako tafadhali whiteMdogo wangu huyo jamani kufweni na hamu zenu tu
Una mahelaaaaa?Nifanye shemeji yako tafadhali white
Una mahelaaaaa?
Mana wenyewe pangu pakavu nimuweke mdogo wangu kwako kama una mahela
Basi humfai mdogo wangu za kula na kunywa ndio nini kwahiyo hutampa hela za kutumiapesa pesa mimi hata sisemi atapata za kula na kunywa white....
I wañna c u mai bbyI'm sorry bby.
Ukinikutanisha nae tutazungumza kuhusu maisha yetu ya mbeleni thou nahitaji uwepo na support yako whiteBasi humfai mdogo wangu za kula na kunywa ndio nini kwahiyo hutampa hela za kutumia
Hapana jamani ushaanza nitisha humfai mdogo wanguUkinikutanisha nae tutazungumza kuhusu maisha yetu ya mbeleni thou nahitaji uwepo na support yako white
Shem kuna mdau namuona anakunyemelea toka muda mrefu sana.Hapana mkuu me na wewe tuendelee hivi hivi tu
Mchumba ?Ukiniweka meza yangu nitapata mchumba
Utaniharibia bwana. Wanajuaga we hapo bby sasa akikuona hapa watajua umekuja kulinda mali zako.Hivi Mzigua una mabebi wangapi wewe? Teh teh ......
Mm nitaletewa bili yangu utujue.... so huyo mchumba wako atapambana na hali yako cha msingi uje uniage kama cousin yako
Shemeji atashindwa kwa jina la YesuShem kuna mdau namuona anakunyemelea toka muda mrefu sana.
Utaniharibia bwana. Wanajuaga we hapo bby sasa akikuona hapa watajua umekuja kulinda mali zako.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
MmhSidhani kama anakumbuka idadi aliyokuwa nayo jamani