theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,715
Ameeen hakuna linaloshindikana kikubwa kutokata tamaatunazipanda wote hizo white..
Ila siku moja tutapata zetu na tuzunguka mji wote huuu.....
Cha msingi pesa ya kula na kunywa ipo hakuna tatizo kwa jiji la makonda
Guess please....Wapi hapo?
Nani kakwambia me muislamu me mlutheri wa kubatizwa mpaka kipaimaraYou are a muslim dear... maji ni saizi yako white
Amen napenda watu wanaopambana mtu legelege apite hiviiiii.....Ameeen hakuna linaloshindikana kikubwa kutokata tamaa
Nani kakwambia me muislamu me mlutheri wa kubatizwa mpaka kipaimara
Hahahh ndio vijimambo vya jf hvyo. Ningemmeza
Yan ule ndio unauita ubonge?? una utani na mabonge etiMi sio mswahili mkuu. Labda we uje kuninganga ubonge wangu
Alikuwa white bonge fulani hivii afu mcheshii sema nilikuwa busy na heineken na mdudu...Hahahahaaa. Si mimi kabisa.
Aiseeee sipendagi uongo wala kumuongopea mtu halafu siwezi tania mambo za dini me siji mkuu utaonana na mzigua kwanza nilivyo muoga naongea tu hapawe mwongo white we utakuja fontaine blue I have a respect for you dear... tutapata chakula na drinks then utaenda home
Me mwenyewe naishi nanjilinji huku na kichumba changu kimoja ni kama store kila kitu ndani kwahiyo usiogope uwe na amani zote mwendokasi ndio usafiri wangu nasimamia bomba
Hapana mkuu jamani siwezi kudanganya huo ndio ukweli wanguheee... mara mtu anatia timu na vogue hapo, binadamu nyie.. ndio maana halisi ya "nanjilinji" itaeleweka
Aiseeee sipendagi uongo wala kumuongopea mtu halafu siwezi tania mambo za dini me siji mkuu utaonana na mzigua kwanza nilovyo muoga naongea tu hapa
we mwongo white we utakuja fontaine blue I have a respect for you dear... tutapata chakula na drinks then utaenda home
Hapana mkuu me na wewe tuendelee hivi hivi tuwatu waoga ni watu makini zaidi so na imani utakuwa mtu makini zaidi yangu....
Nikikutana na mzigua hope utakuwa mtu w pili kukutana na mimi kutoka humu jf...
So if you deny it its ok with me...Aiseeee sipendagi uongo wala kumuongopea mtu halafu siwezi tania mambo za dini me siji mkuu utaonana na mzigua kwanza nilivyo muoga naongea tu hapa
Hahaha hawa na ma bestie zangu tunafahamiana vizuri mkuunjiwa anaelekea kuingia bandan, nafuatilia mkuu, kazana kazana