Weekend

Imekuja jingine shoga,nikatize wapi isinijie na matusi ya nguoni
yani apa nimekaa nasubiri huenda ikapita na huku,na uvumiliv kama unataka kuanza kunishinda
kama ile ya mwanzo iliniandama jamani kwahiyo kila unapoenda anakufata aje tu
 
ebu ngoja ile I'd ya toka mchana iliyokuwa inanitukana mm na wewe si imepata ban au kafungua nyingine maana ilikuwa inaniandama

Hahahaaa

Watu ni mafisi sana aisee.

Kwa nini wanaogopa kukutukana na IDs zao zilizozoeleka?

Halafu hapo usikute unatukanwa sababu unamkwoti Ngabu na Mzigua!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…