Weekend

Muache Ngabu wangu anamlea mtoto wetu. Halafu hata akibaki yatima hutachangia kitu tuliza mshono dadaa.
Halafu mwambie Nyani Ngabu akwambie vizuri kuhusu mi na yeye I'm sure utakufa ukijua tuna raha kiasi gani sie wawili

Dah! Pole sana aisee.

Kumbe hii takataka ya jalalani bado inakuandama?

Naona anataka kuyaamsha mashetani yangu sasa.

Halafu kaja na uzushi juu! Aisee!

Sijui hata ulimkosea kitu gani.

Ngoja nimwangalie...asipojirekebisha nafanya maangamizi!!!!
 
Achana nae my love. Apanic mpaka afe ila hatuachani ivooo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…