Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Utaelewa pole pole,naona id ya leo leo imekula banDaaahh Jolie J , ndo maana Mungu alikuumba ili uweze kunisaidia mahali ambapo nitakwama kuelewa .
Kuna siku niliandika mwanamke ni mtaji. Namtaji wenyewe ni akili yake.
Kwa unyenyekevu huku mikono nimeishikia kwa nyuma ,,naomba unieleweshe maana yake.
Kalamba kufuliSawa babe nikaa kimyaa ajimalize tani yake
Ila watu wanayaweza aisee kufungua I'd mpya kukera wenzaoUtaelewa pole pole,naona id ya leo leo imekula ban
Niambie siri iliyo nyuma ya kicheko chakoyani umecheka mpaka na mi imebidi nicheke
Afu id inakuja kwa kasi na inamjua kila mtu,nimetoka kwa mambembe ukoIla watu wanayaweza aisee kufungua I'd mpya kukera wenzao
Aiseee kumbe ilikuwa inakera watu wengi hivyo hata hapa wasingemjibu wangemkalia kimya tuAfu id inakuja kwa kasi na inamjua kila mtu,nimetoka kwa mambembe ukoiyo id ilikua inachambana na mambembe,nimeenda kwa kina mshana nikaikuta bahati nzuri hawakumpa attention wakajifanya hawajamwona akakosa kuendelea,yani hii ni kazi kweli na inahitaji nguvu sana,na simu tatu tatu kabisa
Watu wana moyo sanaAiseee kumbe ilikuwa inakera watu wengi hivyo hata hapa wasingemjibu wangemkalia kimya tu
Look inside of my soul and you can find goldMambo ni hiviii
Nasikia mayowe kwa mbaliiiiiiiiUshamkata ivoo
Niko fresh jaman angalau mungu anasaidiaPoa beira unaendeleaje jamani
Akajambe mbeleee hukoAfu id inakuja kwa kasi na inamjua kila mtu,nimetoka kwa mambembe ukoiyo id ilikua inachambana na mambembe,nimeenda kwa kina mshana nikaikuta bahati nzuri hawakumpa attention wakajifanya hawajamwona akakosa kuendelea,yani hii ni kazi kweli na inahitaji nguvu sana,na simu tatu tatu kabisa
Calm dauni mai waifuAkajambe mbeleee huko