Kwa kasi ya matanuzi ya huyu mkweree si muda mrefu tutawafikia!!! Waziri wa fedha anasema kuwa na deni kubwa la nje si hoja bora tunakopesheka; hajui kuwa probability ya kudefault ni kubwa kama deni ni kubwa, sio kosa lake bado ni mwanafunzi wa Open University ingawa ni waziri!!!