Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,152
TATIZO LENU MNATAKA KUYAGEUZA MAPENZI KUWA CHANZO CHA MAPATO
Ungesema hatutoachanaMmhhhhhh hapana ,sio kibuti bana !! Na kwann iwe kibuti
Oohhh Hatutoachana dear !!.Ungesema hatutoachana
Nope kupewa hela au zawadi kutoka kwa mume au mpenzi wako nikitu kizuri sana utafurahia sio kama ukimpa wewe.Ili uwe huru tafuta pesa zako
Hapo sawa my dearOohhh Hatutoachana dear !!.
had no 2 huikubali?Ni kweli kwamba namba 1.
Ila vingine sikubalii
Sijaikubalihad no 2 huikubali?
i thnk ur not health mentally, yan kitu usichopenda wewe unataka mfanyie mwenzio,?Sijaikubali