Weekend story! BEN 10

Ina maana Sam kafa!???? Daaaah jamani..kwahiyo ile game itakuwa alikua Sam na Kyle wanakumbushia enzi na hivi hawala hana talaka
 
Naomba unitag tafadhali.
 
Sio kusudi story unataka mood. Sasa Leo Niko busy napoint nguo na mtu yupo Sikoni. SITA concentrate. Kuna SIKU nimeandika story hapa haieleweki mpaka Mwenyewe nikisoma sielewi. Muwekee na subiraaa. Mambo Kama ya Jana yanataka tulivu.

ufanye haraka basi
 
Sawa mama
 
lara 1 kuna mmbea hapa alisema shosti wako Jokate yule Mh. amekupa ulaji na sasa umekuwa Katibu Muhtasi wake. Nashangaa sasa bado unalia lia njaa tena.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…