carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Poa mkuu karibu tenaMihangaiko tu mkuu, ukichanganya na kuisoma namba inakua full kalambwandas. Nafuatilia ubuyu taratiiiiibu, kama kawaida, KLM, Bingwa, Incharge, Kaptein, Kamanda, Jemadari lara 1 hajawahi kutuangusha!
Nishtue mzigo ukishukaDaah sa5 mbali kweli yan
Sasa pale mlangoni kuna dirisha akamuona kabisaaa bibi. Akaita bibi, biii nisaidieee. Mmmmmhhh, bibi ndo sio wa kumpa msaada sio wa kumpa msaada kabisaaa. Bibi akainuka kibarazanii, akamjibu mjukuu wangu we umeingi mwenyewe kwa mwanaume huyoo, umeva kiminooo, ulikujua huyo kaka yako toka nitoke au baba yako mzazi atakuacha hivi hivi. Siajabu umetoka kwenu umeosha kipapa, umenyoa kabisaa, umingia mwenyewe humo maabara, vumilia upasuaji mjukuu wangu. Amar mie naenda ile safari ya vikindu mshaanaza kunitia janaba mchana mchana. Hapo ndo alipopata uhakika mule ndani msaada hakunaaa.
ITAENDELEA SAA 5 USIKU. IKICHELWA SAA 6 ILA LAZIMA IENDELEEE.
Kazingua vpAmar umezingua, pale unamshika shika demu mi nilikuwa nakucheki nikajua utajiongeza kuacha ku force mwanangu hujiongez wala nini.... umezingua Amar
Katumia udikteta sehemu ambayo ilipaswa kupelekwa kidemokrasiaKazingua vp
Japo nimechelewa kuiyona bat thenks my kizeeee love mingi mingi
Yaani hata mm sijalala namsubiria lara1......Lara unazinguaaaaaaa..... Utalipa usingizi wangu ujue, haiwezekani mi sisinzii na story huweki, saa tano tayari
hahaha kumbe tupo wengi, ila alisema mida ya saa 5 au 6. So tuwe wavumilivuLara unazinguaaaaaaa..... Utalipa usingizi wangu ujue, haiwezekani mi sisinzii na story huweki, saa tano tayari