The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,058
Long time kitambo sijapata utamu wa kubwa lao wa wkend story! Ngoja nianze sasa
Umeadimika sana, huku ni mwendo wa madude tu, bandika bandua.
Long time kitambo sijapata utamu wa kubwa lao wa wkend story! Ngoja nianze sasa
Mmmhhhh mtazamaji wa vitu vyetu vile hahahahahahaHahahaaa Lara 1 Avator yako inanikumbusha mbaaaali sana mambo ya Skin Diamond![]()
Ficus jamanii tutasikitika kufika ngambo bila wewe mwenzetu. Njoo umalizie story kishingo upande.
Hakika burudani hii ni mujarab.Yaani movie linaisha kama Prison Break, haijulikani wahusika wamekufa au wapo hai..... lara 1 a ch tuchangechange ujipooze koo. Hii burudani mujarabu
oh yes !AMAR ARUDI TU HATA AKIWA MFU Sydney ndo kaburi lake!hili muvi naona kabisa lina part II comeback ya Amar aembu nenda chimbo mama uje na part II yake naona mwisho wake bado kabiaaaa
ngoja tumuachie mtunzi amalize hyo kazioh yes !AMAR ARUDI TU HATA AKIWA MFU Sydney ndo kaburi lake!
NAJUA ATARUDI!
FULL ARMED!
oh yes !AMAR ARUDI TU HATA AKIWA MFU Sydney ndo kaburi lake!
NAJUA ATARUDI!
FULL ARMED!
Yaani movie linaisha kama Prison Break, haijulikani wahusika wamekufa au wapo hai..... lara 1 acha tuchangechange ujipooze koo. Hii burudani mujarabu
Hahaaa! Yani huwezi amini nina KITU KIKALI HATARI. ila wasomaji wangu wengi hali zao kama fanani wao. Njaa inatumaliza sio fanani wala hadhira.
Natamani nikae nikishushe sema ndo vile tuttakula nini.
..SijamboHujambo mrembo?
Aiii we were usitufanyie HVO jamaniHahaaa! Yani huwezi amini nina KITU KIKALI HATARI. ila wasomaji wangu wengi hali zao kama fanani wao. Njaa inatumaliza sio fanani wala hadhira.
Natamani nikae nikishushe sema ndo vile tuttakula nini.
hahaha lara usitufanyie hivyo, tupe mambo mi mdg ako nakutoa cha weekend hii, lolHahaaa! Yani huwezi amini nina KITU KIKALI HATARI. ila wasomaji wangu wengi hali zao kama fanani wao. Njaa inatumaliza sio fanani wala hadhira.
Natamani nikae nikishushe sema ndo vile tuttakula nini.
Kwny hii story nimejiuliza huyu singa singa ambae anafanya ishu hatari hadi za kuuza silaha kwa magaidi sio yule wa ESCROW kweli maana yule nae hashikiki kabisa jamaa ana kibri hakuna wa kumgusa. viongozi wote kimya jamaa limepiga mabilioni. lara 1 hebu fafanua huyu wa kwny story hii hana uhusiano na huyu singa singa wetu?