Weekend njema jamani;kumbuken kubaba zana!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Muda unaenda wacha twende zetu makumbusho ;nikaona ni vyema tutakiane heri na fanaka bila kuwekana sawa kwenye uhai wetu..si wote wale wenzetu wanaolewa wanajishindwa kujihimili basi kumbuka hata zana kuweka mfukoni..yawezekana mwenzako (mlupo utakaemchomoa)amelewa lakini akikumbuka zana akusachi mfukon huna ...mkaamua vuka vuka lohh ...kama unajijua mdhaifu usiwe na aibu weka hio kitu mfukoni hata kama ukishindwa kumbuka mwenzako akikukumbusha basi uitoe mfukoni ...

Starehe njema

wathever u d dont over d it
 
Haswaaaaa bora tuambiane tusijeamka asbh tunalaumiana kwenye net!!!!
 
yaani wakiwa mesharidhishana ndan ya neti ndio lawama zinaanzia hapo...
Net za wapi tena? Hapo hapo mzalendo au? Ukienda nikaribishe basi ili unionyeshe hizo net maana sijawahi kuziona ziko sehemu gani
 
Net za wapi tena? Hapo hapo mzalendo au? Ukienda nikaribishe basi ili unionyeshe hizo net maana sijawahi kuziona ziko sehemu gani

mkuu net ziko lodge za sinza bana ,..uko zitoke wapi ???
 
Muda unaenda wacha twende zetu makumbusho ;nikaona ni vyema tutakiane heri na fanaka bila kuwekana sawa kwenye uhai wetu..si wote wale wenzetu wanaolewa wanajishindwa kujihimili basi kumbuka hata zana kuweka mfukoni..yawezekana mwenzako (mlupo utakaemchomoa)amelewa lakini akikumbuka zana akusachi mfukon huna ...mkaamua vuka vuka lohh ...kama unajijua mdhaifu usiwe na aibu weka hio kitu mfukoni hata kama ukishindwa kumbuka mwenzako akikukumbusha basi uitoe mfukoni ...

Starehe njema

wathever u d dont over d it

No moral ethics kwenye hii post! Starehe si ngono tu .....!
 
Duhhhhh! Naona weekend imeanza rasmi sijui itakuwaje katika long weekend inayokuja ya Pasaka. Haya mkae salama ngoja nami niingie mtaani :)

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=0V1M0r5jkPI"]YouTube- Brenda-weekend special 80's -www.zimvibes.com[/ame]
 
Same to you, have a nice week-end

11597111.gif
 
Kuwa makini na ID za JF, she is a Man by the way!

masa mbona sijaona ameuliza jinsia ama kuitaji mchumba wa kuoa
by the way utakiwi kujibu thread kutokana na jinsia ..wanaoathieika na haya
ni wale wanaokuja kutafuta mchumba Jf lakini sidhan jinsia inakusumbua kutoa maoni yako

karibu mpwa
 
Back
Top Bottom