Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,415
- 191,569
Njoo uchukue hela ya weekend basi manzee๐๐๐๐๐๐aah we naijua na hiyo
Njoo uchukue hela ya weekend basi manzee๐๐๐๐๐๐aah we naijua na hiyo
Mko watano hio si Spacio nzima kabisa!๐๐๐tuko wa5 tu hata sio wengi
๐๐๐๐๐๐hatuweziWaambie wao warudi. Ww njoo ๐ ๐
Itume kwa namba yangu tu ileile sijabadilishaNjoo uchukue hela ya weekend basi manzee
Ilibaki kidogo sana uwe utoko[emoji38][emoji38][emoji38] yes leo nataka gari iwake mapemaa
๐ ๐ ๐ Hata Novida hawapatiWaache waje uwanunulie NOVIDA moya moya total itakua 2400 pesa kidogo sana iyo
SiweziAcha ushamba bidada
Nipo tayari kuwaspoil kivyovyote watakavyotaka, ila waje wamenyoa vipara, no wigs allowed ๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐hatuwezi
We donโt do wigsNipo tayari kuwaspoil kivyovyote watakavyotaka, ila waje wamenyoa vipara, no wigs allowed ๐ ๐ ๐
Rudi tena basi mrembo ๐คฆNimetoka hapo muda si mrefu
AkhuuuNende tu ukachukue na mapochopocho mengne[emoji23][emoji23]
Ah wapi nishafika mbaliRudi tena basi mrembo ๐คฆ
Hili swali niliulizwa Jana na shemej yangu (mke wa bro) eti "huku mjini watu huwa wanalala saa ngapi" nikamwambia ale maisha ya mjini ayaache huku huku mjini,j3 anarudi zake Kayenze ๐Ukiwa baadhi ya sehemu mpk unajiuliza watu wanalala saa ngapi? Kesho ni j3 je wote ni wajasiriamali au maboss?