Weekend ndio hiyoooooooooo

Weekend ndio hiyoooooooooo

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
754
Kelly Khumalo, mwanamuziki wa South Africa anatumbuiza pale Zoungough Garden kesho sijui ataturusha kama hivi...


magic020.jpg

magic018.jpg

magic017.jpg

magic016.jpg

magic015.jpg

magic013.jpg
 
asterkfululai kama hii ndo wikindi. siitaki.mbona wako uchi?
 
Nimekubali,wakiwezeshwa wanaweza. AAfu huo weusi wa naniliu kwenye hiyo picha ya mwisho mbona kama umezidi au wanja umetumika?
 
Hakyi yanani hii ni sodoma. kama wkend yenyewe ndo hii bora nikae nyumbani niangalie tv
 
Kuda'dada'dada'dadeki!! Kweli wanawake na maendeleo wafanye kazi wasonge mbele..
 
kuna umuhimu kwenda ku:eyebrows:takasa macho
 
Nimekubali,wakiwezeshwa wanaweza. AAfu huo weusi wa naniliu kwenye hiyo picha ya mwisho mbona kama umezidi au wanja umetumika?

Hapo ujanja umetumika nenda kwenye blog ya mzee wa supu utamuona vizuri. Nashut down
 
Back
Top Bottom