Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Last edited by a moderator:
It is the utmost belief in God and the ways He works in.I know Karucee but unaweza kunifafanulia zaidi
It is the utmost belief in God and the ways He works in.
Kwamba ukimuomba Mungu akupe kitu then you do not harbour any worries or fears in your heart that He will give you anything contrary.
Afadhali umefulia upumzike
weekend ilikuwa tamu mpaka nikasahau jfWakuu habari zenu weekend inakwendaje? Back to me ipo full majanga full kufulia afu tar zenyewe hizi du anyway j3 si mbali mnaofurahia weekend cheza kwa step usimkanyage mwenzio cc mwekundu miss chagga Eiyer lara 1 Heaven on Earth Dinazarde
Dah mbona ukinistua sasa tuspend wote kumbe nikifulia unanikimbia eh
Ndio nililaka tu
We unataka twende wapi my dia?
Arusha mbali bana
Iwe dar sehemu yoyote