Ndio ni under five.Kumbe watoto under 5yrs! Nilidhani watoto wakaleeee!!! Hao peleka kwenye bembea tu. Huku mikoani wanajitegemea kwa kujipa burudani wenyewe, wakifunga kamba tu kwenye muembe hawahitaji hata kujua beach ndo nini! Na ndo maana yanakuwa imara
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante. Ukakasi[emoji1] haya bwanaIzi account mpya mpya zinaukakasi.....
Njoo kigambon south beach kiingilio 10000
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikosea,ni mpya ndio nimejiunga march tuMkuu! Wewe ni mgeni humu sio! Mbona mathread kibao umepost dah..thread 6 sio mchezo halaf zote zinafanana..ipo kazi kwakweli.
Kwangu hakuna hata huo muembe,nyumba zimebanana haswaa.Mbona amekaa kigaidi namna hiyo hapo mgongoni? Huko beach si atawaumiza wenzake? Funga kamba kwenye muembe hapo home waache wabembee na ndugu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini sasa unawaweka watoto waishi dar? Huoni mbeleni watakuwa wanaume wa dar?[emoji23]Kwangu hakuna hata huo muembe,nyumba zimebanana haswaa.
Hataumia wala hatamuumiza yeyote nitakua namuangalia afu ni mpole hapo alikua kachoka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa dar ni waliozaliwa dar,hawa ni wa kigoma kama zito vile au kakobeKwanini sasa unawaweka watoto waishi dar? Huoni mbeleni watakuwa wanaume wa dar?[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wakikulia dar waanza kula kiepe yai na kushiba ujue tayari umepotezaWanaume wa dar ni waliozaliwa dar,hawa ni wa kigoma kama zito vile au kakobe
Sent using Jamii Forums mobile app
Giraffe hotel panakufaa,kiingilio elf mbili tuu na bia elfu tano shsHabari wana jamvi.
Naomba mnifahamishe sehemu nzuri ya ufukweni ya kwenda weekend na watoto(wawili under five yrs) nipo dar.
Ningependa kujua bei pia kama entrance fee,chakula and the like.
Tafadhali,natanguliza shukurani[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaonaje wadau kama mngemshauri kwanza aanzie uwanja wa fisi manzese maana akitoka halo atakuwa keshakomaa yeye na wanawe.[emoji2] [emoji2] [emoji2]