B Big man Senior Member Sep 21, 2011 128 14 Oct 9, 2011 #1 Wana jf pande hizi ni shwari ndani ya moshi, wakuu angalieni msipitilize mkumbuke kesho mnatakiwa kwenye majukumu ya kujenga taifa, wakuu niko raundi mazee,
Wana jf pande hizi ni shwari ndani ya moshi, wakuu angalieni msipitilize mkumbuke kesho mnatakiwa kwenye majukumu ya kujenga taifa, wakuu niko raundi mazee,
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,642 Oct 9, 2011 #3 ahsante mkuu mnh hizi Plisner walizozindua ni hataaari
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 50,967 22,157 Oct 9, 2011 #4 Tutake radhi wachaga tunakunywa pilsner kwa kuwa kitochi imeisha ama??