Weekend ilikuwa hivi na wadau

Mwisho itakuwa kuna umuhimu gani wa kuoa, mana wanandoa nao bize kuchat, badala ya kuuliza maswali wanauliza jf.
 
Kama watu wangekuwa wanaisoma biblia kwa bidii namna hii, maasi yangepungua sana duniani
 
Mimi hii kitu uwa nachukia saaaaana, maana mnapanga tuonane na watu ili kudiscuss isssue za Kimaisha mara unaona mshiriki kila kinachoongelewa yeye unajibu kwa kuguna..uhuuuuuuuuuuuuu, uhuuuuuuuuuuuu,uhuuuuuuuuuuu; wakati huo akiendelea kuchati na michepuko yake.

Smartphones ni Vinyonya nguvu" energy drainers" tujiepushe vinatupunguzia muda wa kufanya na kufikiria mambo ya Kimsingi ktk maisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…