Weekend hii ilikuwa ndefu sana

Anaeonja asali huchonga mzinga ni ya huzuni na hiyo si starehe hiyo nusu kapute
 
Hiii staili aliyoangukia ingekuwa Mombasa angejuta
 
hahahaaaaaaaaaa,hii sijui ni raha au karaha
 
​Huyu anahitaji msaada, sasa haya maisha gani!
 
pamoja na mvua yote kumnyeshea hazinduki tu? kuna kitu anatafuta si bure
 
alidhani keshafika kwenye mto wa kitanda chake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…