Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,767
Ka mnavojua weekend ndo hiyo imefika na jf imebakiza masaa kadhaa iwe offline kwa siku ka tatu.!!! kwa jinsi navowapenda wana chit chat na ctaki kuwamithi nimejitolea wall yangu ya fb during the weekend ukaandike chochote utakachojisikia na sisi tutachangia ka kawa.!!! Hope i wont miss u that much...
vigezo na masharti kuzingatiwa
vigezo na masharti kuzingatiwa